Tuesday, May 14, 2013

Mange is hot acha achukue sifa yake


Mtasema mtachoka ila tukiangalia one of the hottest chicas in Tz huyu dada nae yumo.mashangingi kutwa maneno kibao mnasahau mwenzenu anasonga mbele.

sichagui sipendelei mwanamke yoyote ila napenda wanaojishughulisha na life zao.huyu mwana dada sa  hivi ni mjasilia mali ana uza african print kitu ambacho mimi na admire sana.

msijibweteke chukueni ideas hapo tupige kazi wanawake.
sio majungu tu.

No comments:

Post a Comment