Inawezekana umeshasoma una kazi yako nzuri au umezama kwenye ujasiliamali hizi ni reason why you should go back to school
- Age sio tatizo wanawake wengi wapo vyuoni na utuuzima wao sembuse wewe
- To advance in your current company
- Gain new information.sio unajibweteka tu unarizika na hapo ulipo
mama msomi huyo
na dada yetu huyu on her way
jamani wanawake tujiendeleze
No comments:
Post a Comment