Wednesday, May 15, 2013

lets talk '' DIET ''

                                                                                          

kila mtu anapenda shape nzuri kama za ma models..ku maintain miili yao wale wanafanya sana mazoezi na kula vile vyakula vyao vile kama vya sungura

Ngumu kuacha vyakula tulivyo vizoea pia.Lakin kuna uwezekano wa kula the same type of food sema tu kwa uangalizi kidogo.
salad aka msosi wa sungura

Most of us tuna battle na overweight na mazoezi hatutaki wala salads hatuwezi shiba wala ku afford.Sikupi zile blah blah za kila siku nakupa plan kazi itabaki kwako sasa.

Diets for Fast Weight Loss

Eat a diet that minimizes starches, added sugars, and animal fat from meat and dairy foods. For rapid weight loss, it is recommended focusing  on fruits, veggies, egg whites, soy products, skinless poultry breasts, fish, shellfish, nonfat dairy foods, and 95% lean meat.
Here are more of the tips
  • Eat vegetables to help you feel full.
  • Drink plenty of water.
  • Get tempting foods out of your home.
  • Stay busy -- you don't want to eat just because you're bored.
  • Eat only from a plate, while seated at a table. No grazing in front of the 'fridge.
  • Don't skip meals.
Keeping a food journal -- writing down everything you eat -- can also help you stay on track.

Am sure sasa uki focus hapo after mda flani utaona 
mabadiliko makubwa.Start taratibu mwanzo huwa mgumu.
kuna watu fulenge nawajua 
wakipungua tutakua hatupumui mjini hapa.#kirohosafi
ushauri wangu ni eat healthy basi.we endekeza bia na 
mbuzi uone balaa lake.

vile vile unaweza ukajikubali
na ukatokelezea tu.The F 
word does not stand for FAT,
the F word we know is
 FABULOUS

No comments:

Post a Comment