Staki kuongea mengi weekend ndio hiyo hapo inaakaribia kunakuaga na events tofauti tofauti shopping,family outs,parties,night outs,weddings,sendoff and much more...
mix and match your wodrobe upendeze..here are some tips
Faboulous
chicaz
akina wenzangu na mie simple lady
elegant lady
Nahisi nimelenga kila kona ya wodrobe.From top to bottom...My fashionistas hamwezi kosa cha kujivalia hapo..Enjoy my fashionistaz
No comments:
Post a Comment