Sunday, May 19, 2013

natural sunday

makeup bhana ni kazi kweli kweli inabidi uwe umezoea ukitaka usichekeshe walion nuna.kuna looks kibao ila mi napenda ile natural look

natural look inakufanya una kua comfotable pia sio sura kama umechorwa na mtoto wa chekechea
Try this look


Ni rahisi sana tumia vitu vichache
nude lipstics

foundation and powder of your skin tone


neutral eyes

nude lips

And lastly nywele..Haijalishi zako au weave haijalishi cow hair,goat hair,horse hair,If you bought it its your hair...

choose your hair vizuri....


Example end results of natural look...





Wabustishaji

 wasanii wabustishaji na kubwa lao la maadui
isha mashauzi

snura kakibusti kidogo

Agnes wa ku busti.huyu nae yumo sana





Wednesday, May 15, 2013

NGASHTUKA NA MACHALE KUNNDESA


Wanted for sexual asult
Hii kweli mbuta nanga..Chezea mchaga wewe alaaa.Pole sana mama wa mbuta nanga kwa kweli yaliokusibu sio ya kitoto ni makubwa haswa.
sina roho mbaya.bofya hapa http://missfbknitwearlyimo.blogspot.com #kirohosafi

Fashionista Tips

Staki kuongea mengi weekend ndio hiyo hapo inaakaribia kunakuaga na events tofauti tofauti shopping,family outs,parties,night outs,weddings,sendoff and much more...
     mix and match your wodrobe upendeze..here are some tips





Faboulous 



chicaz


akina wenzangu na mie simple lady





elegant lady


Nahisi nimelenga kila kona ya wodrobe.From top to bottom...My fashionistas hamwezi kosa cha kujivalia hapo..Enjoy my fashionistaz